top of page

EBOLA VIRUS OUTBREAK

Ebola virus has once again surfaced in Africa creating a temporary travel ban and additional measures by the Government of Canada through it's Public Health Agency.

Janga la virusi ya Ebola inarudia Democratic Republic of Congo

Mei 26, 2026 | Ottawa | Public Health Agency of Canada
 

Waziri wa Uhamiaji, Wakimbizi na Uraia, Mhe. Lena Metlege Diab, ametoa tangazo muhimu sana ambalo linaathiri wengi wa wasikilizaji wetu kutoka Democratic Republic of the Congo, South Sudan na Uganda. Wengi wao wana familia huko na huenda wako katika mchakato wa kutembelea Kanada.
 

Kujibu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika Democratic Republic of the Congo, pamoja na kuongezeka kwa hatari nchini Uganda na South Sudan, Serikali ya Kanada inachukua hatua madhubuti kwa kuanzisha hatua za muda za mipakani ili kupunguza hatari ya virusi kuingia na kuenea ndani ya Kanada.

© 2026  by THINKBIG GROUP INTERNATIONAL. 

bottom of page